Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 18:2-3

Mit 18:2-3 SUV

Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu. Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama.

Soma Mit 18

Picha ya aya ya Mit 18:2-3

Mit 18:2-3 - Mpumbavu hapendezwi na ufahamu;
Ila moyo wake udhihirike tu.
Ajapo asiye haki, huja dharau pia;
Na pamoja na aibu huja lawama.