Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 18:2-3

Mithali 18:2-3 NENO

Mpumbavu hafurahii ufahamu, bali hufurahia kutangaza maoni yake mwenyewe. Uovu unapokuja, dharau huja pia; pamoja na aibu huja lawama.