Methali 18:2-3
Methali 18:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu hapendezwi na busara; kwake cha maana ni maoni yake tu. Ajapo mwovu huja pia dharau; pamoja na aibu huja fedheha.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu. Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mpumbavu hapendezwi na ufahamu; Ila moyo wake udhihirike tu. Ajapo asiye haki, huja dharau pia; Na pamoja na aibu huja lawama.
Shirikisha
Soma Methali 18