Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 14:9-10

Methali 14:9-10 BHN

Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu. Moyo waujua uchungu wake wenyewe, wala mgeni hawezi kushiriki furaha yake.

Soma Methali 14