Methali 14:9-10
Methali 14:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu. Moyo waujua uchungu wake wenyewe, wala mgeni hawezi kushiriki furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki. Moyo huujua uchungu wa nafsi yake, Wala mgeni haishiriki furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 14