Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 14:9-10

Mit 14:9-10 SUV

Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki. Moyo huujua uchungu wa nafsi yake, Wala mgeni haishiriki furaha yake.

Soma Mit 14