Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:9-10

Mithali 14:9-10 NENO

Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake.