Zaburi 119:51-52
Zaburi 119:51-52 SRUV
Wenye kiburi wamenidharau mno, Lakini sikiuki sheria zako. Ninapozikumbuka hukumu zako za tangu kale, Ee BWANA, ninafarijika.