Zaburi 119:51-52
Zaburi 119:51-52 NENO
Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka, hata hivyo sitaiacha sheria yako. Ee Mwenyezi Mungu, ninazikumbuka sheria zako za zamani, nazo zinanifariji.