Zaburi 119:51-52
Zaburi 119:51-52 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wenye kiburi wamenidharau mno, Sikujiepusha na sheria zako. Nimezikumbuka hukumu zako za kale, Ee BWANA, nikajifariji.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:51-52 Biblia Habari Njema (BHN)
Wasiomjali Mungu hunidharau daima, lakini mimi sikiuki sheria yako. Ninapoyakumbuka maagizo yako ya tangu kale, nafarijika, ee Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:51-52 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wenye kiburi wamenidharau mno, Lakini sikiuki sheria zako. Ninapozikumbuka hukumu zako za tangu kale, Ee BWANA, ninafarijika.
Shirikisha
Soma Zaburi 119