Zab 119:51-52
Zab 119:51-52 SUV
Wenye kiburi wamenidharau mno, Sikujiepusha na sheria zako. Nimezikumbuka hukumu zako za kale, Ee BWANA, nikajifariji.