Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:14-16

Zaburi 119:14-16 SRUV

Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi. Nitayatafakari maagizo yako, Na kuziangalia njia zako. Nitajifurahisha sana kwa amri zako, Sitalisahau neno lako.

Soma Zaburi 119