Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:14-16

Zab 119:14-16 SUV

Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi. Nitayatafakari mausia yako, Nami nitaziangalia njia zako. Nitajifurahisha sana kwa amri zako, Sitalisahau neno lako.