Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:14-16

Zaburi 119:14-16 NENO

Ninafurahia kufuata sheria zako kama mtu afurahiaye mali nyingi. Ninatafakari maagizo yako na kuziangalia njia zako. Ninafurahia maagizo yako, wala sitalipuuza neno lako.