Mithali 12:5-7
Mithali 12:5-7 SRUV
Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa. Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa. Waovu huangamia, hata hawako tena; Bali nyumba ya mwenye haki itasimama.