Mithali 12:5-7
Mithali 12:5-7 NENO
Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa. Watu waovu huondolewa na kutoweka, bali nyumba ya mwenye haki husimama imara.