Methali 12:5-7
Methali 12:5-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mawazo ya mwadilifu ni ya haki; mashauri ya mwovu ni ya udanganyifu. Maneno ya waovu lengo lake ni kuua, lakini maneno ya waadilifu huwaokoa wanaotishwa. Waovu huangamizwa na kutoweka kabisa, lakini jamaa ya waadilifu hudumishwa.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:5-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa. Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa. Waovu huangamia, hata hawako tena; Bali nyumba ya mwenye haki itasimama.
Shirikisha
Soma Methali 12