Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:43-45

Zab 119:43-45 SUV

Usiliondoe neno la kweli kinywani mwangu kamwe, Maana nimezingojea hukumu zako. Nami nitaitii sheria yako daima, Naam, milele na milele. Nami nitakwenda panapo nafasi, Kwa kuwa nimejifunza mausia yako.