Zaburi 119:43-45
Zaburi 119:43-45 SRUV
Usiliondoe neno la kweli kinywani mwangu kamwe, Maana nimezingojea hukumu zako. Nami nitaitii sheria yako daima, Naam, milele na milele. Nami nitakwenda kwa uhuru, Kwa kuwa nimejifunza mausia yako.