Zaburi 119:43-45
Zaburi 119:43-45 NENO
Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako. Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele. Nitatembea huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako.