Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:38-40

Zab 119:38-40 SUV

Umthibitishie mtumishi wako ahadi yako, Inayohusu kicho chako. Uniondolee laumu niiogopayo, Maana hukumu zako ni njema. Tazama, nimeyatamani mausia yako, Unihuishe kwa haki yako.