Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:38-40

Zaburi 119:38-40 NENO

Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, ili upate kuogopwa. Niondolee aibu ninayoiogopa, kwa kuwa sheria zako ni njema. Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! Hifadhi maisha yangu katika haki yako.