Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:30-32

Zab 119:30-32 SUV

Nimeichagua njia ya uaminifu, Na kuziweka hukumu zako mbele yangu. Nimeambatana na shuhuda zako, Ee BWANA, usiniaibishe. Nitakwenda mbio katika njia ya maagizo yako, Utakaponikunjua moyo wangu.