Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:30-32

Zaburi 119:30-32 NENO

Nimechagua njia ya kweli, nimekaza moyo wangu katika sheria zako. Nimeng’ang’ania sheria zako, Ee Mwenyezi Mungu, usiniache niaibishwe. Nakimbilia katika njia ya maagizo yako, kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru.