Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 28:6-7

Mit 28:6-7 SUV

Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotofu wa njia angawa ni tajiri. Yeye aishikaye sheria ni mwana mwenye hekima; Bali aliye rafiki wa walafi humwaibisha babaye.

Soma Mit 28