Methali 28:6-7
Methali 28:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali maskini aishiye kwa unyofu, kuliko tajiri aishiye kwa upotovu. Mtoto ashikaye sheria ni mwenye hekima, lakini rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.
Shirikisha
Soma Methali 28Methali 28:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake, Kuliko mpotovu wa njia angawa ni tajiri. Yeye aishikaye sheria ni mwana mwenye hekima; Bali aliye rafiki wa walafi humwaibisha babaye.
Shirikisha
Soma Methali 28