Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 2:3-5

Mit 2:3-5 SUV

Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu; Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika; Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, Na kupata kumjua Mungu.

Soma Mit 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 2:3-5