Methali 2:3-5
Methali 2:3-5 Biblia Habari Njema (BHN)
naam, ukiomba upewe busara, ukisihi upewe ufahamu; ukiitafuta hekima kama fedha, na kuitaka kama hazina iliyofichika; hapo utaelewa ni nini kumcha Mwenyezi-Mungu, utafahamu maana ya kumjua Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:3-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu; Ukiutafuta kama fedha, Na kuutafutia kama hazina iliyositirika; Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA, Na kupata kumjua Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 2