Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 13:20-21

Mt 13:20-21 SUV

Naye aliyepandwa penye miamba, huyo ndiye alisikiaye lile neno, akalipokea mara kwa furaha; lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda; ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile neno, mara huchukizwa.

Soma Mt 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 13:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha