Muhtasari: Mathayo 1-13

Kutoka Kwa BibleProject

Kivinjari hiki hakikubaliani na kipengee cha video.

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mathayo 1-13, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Mathayo, Yesu analeta ufalme wa mbinguni wa Mungu duniani na anawaalika wanafunzi wake kuingia katika namna mpya ya maisha kupitia kifo na ufufuo wake.