Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 13:18-19

Mt 13:18-19 SUV

Basi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi. Kila mtu alisikiapo neno la ufalme asielewe nalo, huja yule mwovu, akalinyakua lililopandwa moyoni mwake. Huyo ndiye aliyepandwa karibu na njia.

Soma Mt 13