Mathayo 13:18-19
Mathayo 13:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, nyinyi sikilizeni maana ya mfano huo wa mpanzi. Yeyote asikiaye neno juu ya ufalme wa Mungu bila kuelewa, ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani; yule Mwovu huja na kunyakua kile kilichopandwa moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi. Kila mtu alisikiapo neno la ufalme bila kulielewa, huja yule mwovu, akalinyakua lililopandwa moyoni mwake. Huyo ndiye aliyepandwa karibu na njia.
Shirikisha
Soma Mathayo 13