Mithali 29:19-20
Mithali 29:19-20 NENO
Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, hata akielewa, hataitikia. Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye.