Methali 29:19-20
Methali 29:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtumwa haonyeki kwa maneno matupu, maana ingawa anayaelewa yeye hatayatii. Wamwona mtu apayukaye bila kufikiri? Mtu mpumbavu ni afadhali kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Methali 29Methali 29:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haitoshi mtumwa kuonywa kwa maneno; Maana ajapoyafahamu hataitika. Je! Umemwona mtu mwenye kuhamaki katika maneno? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Shirikisha
Soma Methali 29