Mithali 27:4-6
Mithali 27:4-6 NENO
Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika. Majeraha kutoka kwa rafiki yaonesha uaminifu, lakini adui huzidisha busu.