Methali 27:4-6
Methali 27:4-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghadhabu ni katili na hasira huangamiza; lakini ni nani awezaye kuukabili wivu? Afadhali mtu anayekuonya waziwazi, kuliko yule afichaye upendo. Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:4-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ghadhabu ni kali, na hasira ni gharika; Lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu. Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika. Majeraha utiwazo na rafiki ni ya kweli; Bali busu la adui ni udanganyifu.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:4-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ghadhabu ni kali, na hasira ni gharika; Lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu. Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika. Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.
Shirikisha
Soma Methali 27