Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 21:1-2

Mithali 21:1-2 NENO

Moyo wa mfalme uko katika mkono wa BWANA; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali BWANA huupima moyo.