Methali 21:1-2
Methali 21:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo wa mfalme ni kama maji yanayotiririka; Mwenyezi-Mungu, huuongoza popote apendapo. Matendo yote ya mtu ni sawa machoni pake, lakini Mwenyezi-Mungu hupima mioyo.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo. Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.
Shirikisha
Soma Methali 21Methali 21:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo. Kila njia ya mtu ni sawa machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huipima mioyo.
Shirikisha
Soma Methali 21