Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 20:20-21

Mithali 20:20-21 NENO

Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itazimwa katika giza nene. Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni.