Methali 20:20-21
Methali 20:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayemlaani baba yake au mama yake, mwanga wa uhai wake utazimwa kama taa gizani. Mali iliyopatikana kwa haraka mwanzoni, haitakuwa ya heri mwishoni.
Shirikisha
Soma Methali 20Methali 20:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu. Urithi uliopatikana mwanzo kwa haraka, Mwisho wake, lakini, hautabarikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 20