Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 16:6-7

Mithali 16:6-7 NENO

Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha BWANA mtu hujiepusha na ubaya. Njia za mtu zinapompendeza BWANA, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.