Methali 16:6-7
Methali 16:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu. Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu. Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu. Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye.
Shirikisha
Soma Methali 16