Mithali 12:8-9
Mithali 12:8-9 NENO
Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula.