Methali 12:8-9
Methali 12:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu husifiwa kadiri ya hekima yake, lakini mtu wa fikira mbaya hudharauliwa. Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu atasifiwa kwa kadiri ya akili zake; Bali mwenye moyo wa ukaidi atadharauliwa. Afadhali mtu anayedharauliwa, ikiwa ana mtumwa, Kuliko ajisifuye, ikiwa anahitaji chakula.
Shirikisha
Soma Methali 12