Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:23-24

Mathayo 5:23-24 NEN

“Kwa hiyo, ikiwa unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako, iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Nenda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi na ukatoe sadaka yako.