Mathayo 5:23-24
Mathayo 5:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 5