Nawe kama jicho lako la kuume linakukwaza, ling'oe, ulitupe mbali! kwani itakufaa, kiungo kimoja tu kiangamie, kuliko mwili wako mzima ukitupwa shimoni mwa moto. Nawe kama mkono wako wa kuume unakukwaza, uukate, uutupe mbali! Kwani itakufaa, kiungo kimoja tu kiangamie, kuliko mwili wako mzima ukijiendea shimoni mwa moto.