Mathayo 5:38-39
Mathayo 5:38-39 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mmesikia kwamba ilisemwa: ‘Jicho kwa jicho, jino kwa jino.’ Lakini mimi nawaambieni, usimlipize kisasi mtu mbaya. Mtu akikupiga kofi shavu la kulia, mgeuzie pia la pili.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:38-39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.
Shirikisha
Soma Mathayo 5