Mathayo 5:3
Mathayo 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 5