Mathayo 5:14
Mathayo 5:14 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
“Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nyinyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji ukiwa juu ya mlima hauwezi kusitirika.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
Shirikisha
Soma Mathayo 5